AJIRA ZA UALIMU

AJIRA ZA UALIMU


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Ametangaza majina ya walimu waliopangiwa Vituo mbalimbali vya kazi kufuatia Maombi ya Ajira zilizotangazwa kuanzia tarehe 12/4/2023 hadi 25/04/2023.

Mheshimiwa Waziri Angellah Kairuki amesema Jymla ya Maombi  kada ya ualimu ilikuwa 123,211. Ili kuona Majina ya Waliochaguliwa Bofya hapo Chini.

CLICK HERE TO DOWNLOAD


Post a Comment

أحدث أقدم