JOB VACANCY KAGERA SUGAR

JOB VACANCY 

Kagera Sugar Company Ltd



Uongozi wa Kiwanda cha kutengeneza Sukari (Kagera Sugar Ltd) kilichopo wilaya ya MIssenyi Mkoa wa Kagera Tanzania unatangaza nafasi ya ajira kwa watanzania wenye vigezo.

Sifa za Muombaji

  • Awe Mtanzania
  • Awe na akili timamu
  • Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja
  • Awe na elimu katika fani husika
Pakua Form kwa maelekezo zaidi.

Download HERE

Post a Comment

أحدث أقدم