JOB VACANCY
Kagera Sugar Company Ltd
Uongozi wa Kiwanda cha kutengeneza Sukari (Kagera Sugar Ltd) kilichopo wilaya ya MIssenyi Mkoa wa Kagera Tanzania unatangaza nafasi ya ajira kwa watanzania wenye vigezo.
Sifa za Muombaji
- Awe Mtanzania
- Awe na akili timamu
- Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja
- Awe na elimu katika fani husika
Pakua Form kwa maelekezo zaidi.
Download HERE
Post a Comment